Judges 6:28

28 aWatu wa mji walipoamka asubuhi, tazama madhabahu ya Baali imebomolewa na nguzo ya Ashera iliyokuwa karibu nayo imekatwakatwa na yule ng’ombe wa pili ametolewa sadaka juu ya madhabahu yaliyojengwa upya!

Copyright information for SwhKC